Siku ya Hijabu Duniani ni tukio la kila mwaka lililoanzishwa na Nazma Khan mwaka 2013, linalofanyika tarehe 1 Februari kila mwaka katika nchi 140 duniani kote.
Fursa Fursa wote mwakaribishwa haina kingilio (Free Entrance)
Meza kwa siku 3 kwa 100,000
Dates: 4th - 6th February 2022
Venue: Iran Culture Center Upanga- karibu na Palm Beach au mkabala na CRDB HQ
Fursa hii ya kipekee, Stalls Available for Business
- Clothing
- Food
- Cosmetics
- Drinks
- Kids corner
- Accessories
- Education corner and many more
@Pinkhijab for more information +255677081672 au fika Office Kilimani road karibu na Ubalozi wa Ufaransa #womeninbusiness